Unbreakable
"Unbreakable" ni wimbo kutoka kwa kundi la Westlife, wimbo huu ulitoka kama single yao ya kwanza kutoka katika albamu ya Greatest Hits iyotoka mwezi Novemba mwaka 2002. Ni wimbo uliioongoza katika kutoka namba uliyokuwepo hadi kufika namba moja. Yaani kutoka nafasi ya 196 moja kwa moja hadi nafasi ya kwanza.Hali iliyotokea pia katika wimbo wa "Mandy" ambao ndio unaoshikilia nafasi kubwa zaidi yaani, ulifanikiwa kutoka nafasi ya 200 moja kwa moja hadi nafasi ya kwanza katika chati ya single za muziki ya Uingereza zilizowahi kufika namba moja.
“Unbreakable” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Westlife | |||||
Muundo | CD Single | ||||
Aina | Pop, adult contemporary | ||||
Mtunzi | Jorgen Elofsson and John Reid | ||||
Certification | Silver | ||||
Mwenendo wa single za Westlife | |||||
|
Wimbo huu ulifanikiwa kuuza zaidi ya nakala 200,000 nchini Uingereza.
Mtiririko wa nyimbo
haririCD ya kwanza
hariri- Unbreakable (Single Remix)
- Never Knew I Was Losing You
- World of Our Own (US Video)
- Exclusive Band Footage
CD ya 2
hariri- Unbreakable (Single Remix)
- Evergreen
- World of Our Own (US Mix)
- Westlife Fans Roll Of Honour
Matamasha yaliyofanyika
haririChati | Ilipata nafasi |
---|---|
Austria Singles Chart | 23 |
Ubelgiji Singles Chart | 10 |
Denmark Singles Chart | 6 |
German Airplay Chart | 14 |
German Singles Chart | 12 |
Irish Singles Chart | 1 |
Japanese (Tokio Hot 100) | 69 |
Netherlands Singles Chart | 19 |
New Zealand Singles Chart | 44 |
Norway Singles Chart | 9 |
Swedish Singles Chart | 5 |
Swiss Singles Chart | 41 |
UK Singles Chart | 1 |
UK Radio Airplay Chart | 14 |
Tanbihi: Wimbo huu piaumefanikiwa kuongo katika redio mbalimbali nchini Ufilipino.