Until the End of Time ni albamu ya tatu kutolewa baada ya kifo cha rapa Tupac Shakur. Albamu imebeba maujanja ambayo awali hayakutolewa na maremixi kibao ya manyimbo kutoka katika kipindi cha Tupac cha "Makaveli" wakati ameingia mkataba na Death Row Records. Albamu hii ilikuwa ya pili kutolewa bila kutiwa maujanja ya Shakur mwenyewe. Until the End of Time ilikuwa ikibatabiliwa sana kwamba itakuwa albamu bora ya hip hop kimauzo na kuishia kama ilivyotabiliwa mnamo 2001.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Until the End of Time kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.