Until the End of Time (wimbo)

"Until the End of Time" ni single iliyotolewa mnamo mwaka wa 2001 na msanii wa hip hop 2Pac. Wimbo ulitolewa baada ya kufa kwake na umetoka katika albamu yenye jina sawa na huli la wimbo. Wimbo ulipata mafanikio makubwa kabisa na ulikuwa mchango mkubwa kwa albamu na kuipeleka katika ngazi ya 3x Platinum. Wimbo umemshirikisha msanii R.L. kutoka katika kundi la R&B - Next. Muziki wa video wa wimbo huu umeshirikisha picha mchanganyiko za Shakur ambazo awali hazikutolewa. Wimbo ulifikia nafasi ya #52 kwenye chati za Billboard Hot 100. Biti la wimbo huu limechukua sampuli ya wimbo wa Mr. Mister wa mwaka wa 1985 #1 "Broken Wings".

“Until the End of Time”
“Until the End of Time” cover
Single ya 2Pac akishirikiana na R.L. Huggar
kutoka katika albamu ya Until the End of Time
Imetolewa 18 Februari 2001
Muundo CD
Imerekodiwa 1995/1996
Aina Rap
Urefu 4:26
Studio Amaru/Interscope
Mtunzi Tupac Shakur
Mwenendo wa single za 2Pac akishirikiana na R.L. Huggar
"Baby Don't Cry (Keep Ya Head Up II)"
(1999)
"Until the End of Time"
(2001)
"Letter 2 My Unborn"
(2001)
Kava lingine
Kava lingine

Orodha ya nyimbo

hariri
  1. "Until the End of Time"
  2. "Thug N U, Thug N Me" - Remix
  3. "Baby Don't Cry" - 2Pac & Outlawz
  4. "Until the End of Time" - CD-ROM video