Ushoroba (pia: korido, kutoka Kiingereza: corridor) ni sehemu nyembamba ndani ya nyumba au pia baina ya nyumba na nyumba.

Ushoroba katika shule.
Ushoroba wenye umbo la "U" katika ramani ya jengo la ofisi.

Ndani ya nyumba ni sehemu iliyofungwa kati ya kuta kwenda kutoka sehemu moja hadi nyingine, mara nyingi vyumba vimepangwa pande zote mbili za ushoroba.

Hutumiwa hasa katika majengo kama shule na ofisi, lakini pia kwenye hoteli.

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ushoroba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.