Utawa wa Malta
(Elekezwa kutoka Utawa wa Mt. Yohane)
Utawa wa Mt. Yohane wa Yerusalemu, Rhodos na Malta (kwa Kilatini: Supremus Militaris Ordo Hospitalarius Sancti Ioannis Hierosolymitani Rhodiensis et Melitensis, maarufu kama Utawa wa Malta na kwa kifupi SMOM) ni shirika la kitawa ambalo lilianzisha Yerusalemu mwaka 1048 hivi na kuthibitishwa na Papa Paskali II tarehe 15 Februari 1113.
Tangu mwaka 1834 makao makuu yako Roma.
Jambo la pekee ni kwamba una uhusiano wa kibalozi na nchi 112 ili kurahisisha huduma zake za kijamii.
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Utawa wa Malta kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |