Utohozi (kutoka kitenzi "kutohoa") ni kitendo cha lugha fulani kukopa maneno ya lugha nyingine kwa kuyapatia tu matamshi rahisi kwa wenyeji bila ya kuyatafsiri.

Kwa mfano: neno la Kiswahili sekretarieti kutoka Kiingereza "secretariate".

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Utohozi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.