Uwanja wa michezo wa 4 Agosti
Uwanja wa michezo uliopo Ouagadougou, Burkina Faso
Uwanja wa michezo wa 4 Agosti 1983 ni uwanja wenye matumizi mengi unapatikana Ouagadougou, nchini Burkina Faso.
Kwa sasa unatumika sana kwa michezo ya soka na pia unamichoro ya mashindano ya riadha. Uwanja huu unauwezo wa kubeba mashabiki takribani 60,000.[1] Klabu ya Etoile Filante Ouagadougou wanautumia uwanja huu kama uwanja wa nyumbani.
Viungo vya nje
hariri- media kuhusu Stade du 4-Août pa Wikimedia Commons
- Picha Ilihifadhiwa 6 Februari 2009 kwenye Wayback Machine. kutoka worldstadiums.com Ilihifadhiwa 16 Machi 2006 kwenye Wayback Machine.
- Picha kutoka fussballtempel.net
- Uwanja kutoka Openstreetmap