Uwanja wa michezo wa Allianz Arena
Uwanja wa michezo wa Allianz Arena ni uwanja wa michezo kutoka Kaskazini mwa mji wa Munich, Ujerumani. Kwa kuwa uwanja huo huwa na kawaida ya kuchezea Ligi kuu za mabingwa, ukapelekea kuitwa jina la Munich arena.
Katika uwanja wa Allianz kuna timu mbili za mkoa huwa zinacheza katika uwanja huo. Moja kati ya timu hizo ni FC Bayern München na TSV 1860 München tangu msimu wa mwaka 2005/2006 wanachezea katika uwanja wao wa nyumbani.
Uwanja una viti vipatavyo 69,901. Wakati Kombe la Dunia la mwaka 2006 lililochezewa nchini Ujerumani, uwanja wa Allianz pia ulitumiwa.
Inasemekana kuwa, uwanja huo uligharimu takriban Euro milioni 340.
Picha
hariri- Picha zinazoonyesha baadhi ya maeneo ya uwanja Allianz Arena:
-
Allianz Arena katika hali ya kuchezewa
-
Allianz Arena kwa ndani
-
Allianz Arena kwa upande wa Kusini
-
Katika eneo la kukalia
-
Allianz Arena siku ya ufunguzi
Viungo vya nje
hariri- Official website of Allianz Arena Ilihifadhiwa 5 Agosti 2013 kwenye Wayback Machine. Facts and Figures Section provides details like the amount of concrete used, composition of the facade, facade lighting etc. (Kiingereza)
- www.allianz-arena.de Official website (Kijerumani)
- www.arena-one.de Restaurant operator
- Allianz Arena at Footballmatch
- www.0lll.com Allianz Arena Photographs Ilihifadhiwa 13 Juni 2006 kwenye Wayback Machine.
- Allianz Arena katika Structurae database
- Allianz Arena - Architectour.net
- Allianz Arena Stadium Guide (Kijerumani)
- Technical and detail information on architecture and building materials (Kijerumani)
- Overview of all 2006 World Cup stadiums Ilihifadhiwa 18 Juni 2006 kwenye Wayback Machine.
- World Cup Watch Venue Guides Ilihifadhiwa 23 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- The Allianz Arena in Lego Ilihifadhiwa 26 Mei 2008 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Allianz Arena kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |