Uwanja wa michezo wa Kabokweni
Uwanja wa Michezo wa Kabokweni ni uwanja unaotumika katika shughuli mbalimbali za kimichezo katika kijiji cha Kabokweni, mkabala na Chuo cha Elijah Mango karibia km 4 kutoka Kaskazini Mashariki mwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kruger Mpumalanga, ambapo ni takribani km 30 kutoka Kaskazini Mashariki mwa Nelspruit, katika mkoa wa Mpumalanga nchini Afrika Kusini. Uwanja ulifanyiwa marekebisho mnamo Januari mwaka 2010.
Viungo Vya Nje
haririMarejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-12. Iliwekwa mnamo 2021-06-12.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-12. Iliwekwa mnamo 2021-06-12.
- ↑ https://m.facebook.com/profile.php?id=161265977276110
- ↑ https://twitter.com/officialpsl/status/993093714330472449?lang=en
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Kabokweni kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |