Uwanja wa michezo wa Rabie Ridge
unapatikana [[Rabie Ridge]],uko [[Johannesburg]], [[South Africa]].
Uwanja wa michezo wa Rabie Ridge unapatikana Rabie Ridge, huko Johannesburg, South Africa. Unatumika zaidi kuchezea mechi za mpira wa miguu. Pia ulitumika kama uwanja wa mazoezi kwa timu zilizoshiriki kwenye Kombe la Dunia mwaka 2010 baada ya kukarabatiwa viti na vyumba vya kubadilishia nguo, na kufikia viwango vya FIFA.[1]
Viungo vya nje
haririMarejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Rabie Ridge kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |