Uwanja wa ndege wa Shinyanga
Uwanja wa ndege wa Shinyanga (IATA: SGX, ICAO: HTSO) ni kiwanja cha ndege kinachohudumia mji wa Shinyanga nchini Tanzania.
Uwanja wa ndege wa Shinyanga / Ibadakuli English: Shinyanga / Ibadakuli Airport | |||
---|---|---|---|
IATA: SHY – ICAO: HTSY – WMO: 63784 | |||
Muhtasari | |||
Aina | Matumizi ya Umma | ||
Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
Mahali | Shinyanga, Tanzania | ||
Mwinuko Juu ya UB |
3,800 ft / 1,158 m | ||
Anwani ya kijiografia | 03°36′34″S 33°30′15″E / 3.60944°S 33.50417°E | ||
Ramani | |||
Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
11/29 | 2,000 | 6 562 | Changarawe |
Viungo vya nje
hariri- Tovuti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (Kiingereza)
Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |