Uwanja wa ndege wa Tabora
Uwanja wa ndege wa Tabora (IATA: TBO, ICAO: HTTB) ni kiwanja cha ndege kinacho hudumia mji wa Tabora nchini Tanzania.
Uwanja wa ndege wa Tabora English: Tabora Airport | |||
---|---|---|---|
IATA: TBO – ICAO: HTTB – WMO: 63832 | |||
Muhtasari | |||
Aina | Matumizi ya Umma | ||
Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
Mahali | Tabora, Tanzania | ||
Mwinuko Juu ya UB |
3,868 ft / 1,179 m | ||
Anwani ya kijiografia | 05°04′34″S 32°49′50″E / 5.07611°S 32.83056°E | ||
Ramani | |||
Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
13/31 | 1,786 | 5 860 | Changarawe1 |
08/26 | 1,555 | 5 102 | Changarawe |
Takwimu (2006) | |||
Harakati za ndege | 2,360 | ||
1 kinaboreshwa kwa kiwango cha lami |
Viungo vya nje
hariri- Tovuti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (Kiingereza)
Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |