Venkatraman Ramakrishnan
Venkatraman Ramakrishnan (amezaliwa 1952 nchini Uhindi) ni mwanakemia wa nchi za Uingereza na Marekani. Hasa amechunguza ribosomi.
Mwaka wa 2009, pamoja na Thomas Steitz na Ada Yonath, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Venkatraman Ramakrishnan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |