Vespasian

(Elekezwa kutoka Vespasiano)

Titus Flavius Vespasianus (17 Novemba, 923 Juni, 79) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 1 Julai, 69 hadi kifo chake. Alimfuata Vitellius. Wana wake Titus na Domitian walikuwa Kaizari baada yake.

Shaba inayoonyesha Kaizari Vespasian

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vespasian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.