Victoria (Shelisheli)


Victoria ni mji mkuu wa Shelisheli. Iko kwenye kisiwa cha Mahe ikiwa na wakazi 24,702.

Jiji la Victoria
Nchi Shelisheli
Mji wa Victoria
Mbele: mfano mdogo wa mnara wa "Big Ben" wa London katika mji wa Victoria; nyuma jengo la wizara ya sheria

Bandari ya Victoria ni kitovu cha biashara ya kimataifa cha nchi.