Vigori
Vigori (kwa Kilatini: Vigor; Artois, Ufaransa, karne ya 5 - 537 hivi) alikuwa askofu wa Bayeux (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 513 au 514[1] akiingiza Wapagani wengi katika Kanisa Katoliki kama alivyofanya mlezi wake, Vedasto wa Arras[2] [3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Edit, Fulbourn and the Wilbrahams | powered by Church. "Fulbourn and the Wilbrahams - History of Fulbourn churches".
{{cite web}}
: CS1 maint: multiple names: authors list (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link) - ↑ "Vita Sancti Vigoris". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-25. Iliwekwa mnamo 2021-10-27.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/93123
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
hariri- St. Vigor
- Saints of November 1: Vigor of Bayeux Ilihifadhiwa 30 Desemba 2019 kwenye Wayback Machine.
- [1]
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |