Vikta wa Le Mans (422 - Le Mans, leo nchini Ufaransa, 490 hivi) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 450.

Gregori wa Tours aliandika juu yake [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Septemba[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/68600
  2. Vie de Saint Julien et des autres Confesseurs Pontifes, ses successeurs. Auguste Voisin, 1844
  3. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.