Vincent Kipchumba (Kenya, 3 Agosti 1990) ni mwanariadha wa masafa marefu wa Kenya. Mnamo 2019, alishinda marathoni ya Amsterdam, ya Adana na ya Vienna. [1]

Kipchumba (97), 2017.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vincent Kipchumba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.