Vincent Schiavelli

Vincent Andrew Schiavelli (11 Novemba 194826 Desemba 2005) alikuwa mwigizaji wa kwenye makumbi, filamu, na televisheni kutoka nchini Marekani. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama mzuka wa reli za andaki kutoka katika filamu ya Ghost. Mara nyingi huelezwa kama 'mtu mwenye macho ya uzuni'.

Vincent Schiavelli
Schiavelli1987.jpg
Schiavelli and his then- wife Allyce Beasley, 20 Septemba 1987
Amezaliwa Vincent Andrew Schiavelli
11 Novemba 1948(1948-11-11)
Brooklyn, New York, U.S.
Amekufa 26 Desemba 2005 (umri 57)
Polizzi Generosa, Italia
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1971–2005
Ndoa Allyce Beasley (4 Agosti 1985 – 1988)
Carol Mukhalian (23 Oktoba 1992 – 26 Desemba 2005)

Viungo vya njeEdit


  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vincent Schiavelli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.