Open main menu
Visiwa vya Andaman kutoka angani.

Visiwa vya Andaman ni funguvisiwa vya Bahari ya Hindi. Kiutawala, sehemu kubwa iko chini ya Jamhuri ya India na ndogo chini ya Myanmar.

Eneo la wenyeji wa Andaman, lilivyokuwa kabla ya karne ya 18 na lilivyo leo.

Wakazi wake walibaki karne nyingi bila mawasiliano na watu wengine; hivyo wenyeji wana sifa za pekee upande wa jenetikia, ingawa siku hizi wakazi wengi ni walowezi na wahamiaji hasa kutoka India bara.

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit