Open main menu
Ramani ya Andaman na Nicobar pamoja na ile ya mji mkuu, Port Blair.

Visiwa vya Andaman na Nicobar ni eneo la muungano wa jamhuri ya India.

Linaundwa na mafunguvisiwa hayo mawili ya Bahari ya Hindi.isipokuwa visiwa vichache vilivyo chini ya Myanmar.

Kwa jumla ni kilometa mraba 8,249. Wakazi ni 380,500 (2012). Lugha inayotumika zaidi ni Kibengali.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu: