Visiwa vya Andamani na Nikobari
Visiwa vya Andamani na Nikobari ni eneo la muungano wa jamhuri ya India.
Linaundwa na mafunguvisiwa ya Andamani na Nikobari kwenye Bahari ya Hindi, isipokuwa visiwa vichache vilivyo chini ya Myanmar.
Kwa jumla ni kilometa mraba 8,249. Wakazi ni 380,500 (2012). Lugha inayotumika zaidi ni Kibengali.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Census of India, Provisional Population Totals
- Andaman and Nicobar Administration Website
- Visiwa vya Andamani na Nikobari katika Open Directory Project