Galapagos ni jina la funguvisiwa ya Ekuador katika Pasifiki takriban 1000 km kutoka pwani la bara ya Amerika Kusini. Jumla ya visiwa ni 61 kati ya hivi kuna 13 vikubwa. Visiwa vimesambaa katika eneo la 8000 km².

Visiwa vya Galápagos
Iguana ya Galapagos (aina kama kenge)
(Chelonoidis nigra)

Funguvisiwa ni ya asili ya kivolkeno. Visiwa ni mashuhuri duniani kwa sababu ya idadi kubwa ya spishi za wanyama. Charles Darwin alifanya utafiti wa spishi nyingi akapata dhana za kimsingi kwa ajili ya nadharia yake ya mageuko ya spishi.

Visiwa vikubwa ni kama vifuatavyo:

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Galapagos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.