Vistula (Kipoland: Wisła tamka: viswa) ni mto mkubwa nchini Poland mwenye urefu wa 1047 km.

Vistula
Kipoland: Wisła
Vistula karibu na Warshawa, Poland.
Chanzo Milima ya Beskidi
Mdomo Bahari ya Baltiki
Nchi Poland
Urefu 1,047 km
Kimo cha chanzo 1,106 m
Mkondo 1,054 m³/s
Eneo la beseni 194,424 km²
Nchi za beseni: Poland,
Ukraine, Belarus, Slovakia
Miji mikubwa kando lake Krakov, Warshawa, Thorun, Gdansk

Chanzo chake ni katika milima ya Beskidi inaishia katika Bahari Baltiki. Inapita kwenye miji mikubwa ya Krakov na Warshawa.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vistula (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.