Viwakilishi vya kuuliza

Mifano
  • Mingapi imekatwa?
  • Yupi ni mgonjwa?
  • Mangapi ni mabovu?
  • Lipi ni zima?
  • Nani anagonga?

Viwakilishi vya kuuliza ni aina ya neno au maneno yanayosimama badala ya nomino iliyoulizwa.

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viwakilishi vya kuuliza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.