Vumbi
Vumbi (kwa Kiingereza "dust") ni vipande au vipisi vidogo sana vya mata kwenye hewa, kwenye uso n.k.
Chembe za vumbi hufanywa kwa vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na uchafu, nyenzo kutoka mlipuko wa volkano, na uchafuzi wa mazingira.
Vumbi linaweza pia kuwa na kiasi kidogo cha mbelewele ya mimea, nywele kutoka kwa watu au wanyama, seli za ngozi, na vitu vingine vingi.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vumbi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |