Waasa
Waasa ni kabila dogo la watu wa Mkoa wa Manyara, Tanzania Kaskazini. Mwaka 1999 walihesabiwa kuwa 300 tu, baada ya wengine kumezwa na kabila la Wamasai.[1]
Zamani walikuwa wakiongea lugha ya Kiaasáx, iliyoitwa pengine "Kidorobo".
Tanbihi
haririMakala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waasa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |