Wadodth (au Wadodos) ni kabila la watu linaloishi katika milima ya kaskazini mashariki mwa Uganda (Wilaya ya Kaabong).

Wilaya ya Kaabong wanakopatikaga Wadodoth

Lugha yao ni lahaja ya Kikaramojong, ambayo ni kati ya lugha za Kiniloti.

Kwa jumla wanahusiana sana na Wakaramojong na Wajie.

Tanbihi

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wadodoth kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.