Wafe Messaoud (alizaliwa 24 Oktoba 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza kama beki wa Klabu ya Al-Taraji fc huko Saudia pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1][2]

Wafe Messaoud Mei (2022).

Marejeo hariri

  1. "Wafa Massoud Stats". FBref. Iliwekwa mnamo 6 August 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Match Report of Jordan vs Tunisia – 2021-06-10 – FIFA Friendlies – Women". Global Sports Archive. Iliwekwa mnamo 6 August 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wafe Messaoud kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.