Waleed Abdalati

Mwanasayansi Mkuu wa NASA na Profesa wa jiografia.

Waleed Abdalati ni mmoja wa wanasayansi wakuu wa NASA (National Aeronautics and Space Administration). Yeye alikuwa mkuu kuanzia 3 Januari 2011 hadi Desemba 2012. Abdalati alipewa wadhifa huu mnamo 13 Desemba 2010 na msimamizi wa NASA Charles Bolden.

Waleed Abdalati.

Hapo awali Abdalati alihudumia NASA kama Mkuu wa Sayansi ya Cryospheric katika Kituo cha ndege cha Goddard space flight centre kati ya Januari 2004 na Juni 2008.

Kwa sasa Abdalati ni mkurugenzi wa Taasisi ya Ushirika ya utafiti katika Sayansi ya Mazingira.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waleed Abdalati kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.