Walugbara ni kabila la watu wanaoishi kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kaskazini magharibi mwa Uganda, lakini pia kusini magharibi mwa Sudan Kusini.

Wanawake Walugbara wakichambua karanga.
Rais Idi Amin alizaliwa na mama Mlugbara[1]

Lugha ya wengi wao ni Kilugbara, mojawapo kati ya lugha za Kisudani[2] na dini yao ni Ukristo, lakini pia Uislamu.

Tanbihi hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-11. Iliwekwa mnamo 2020-02-11. 
  2. Lugbara entry from Ethnologue

Marejeo hariri

  • Middleton, J. (1965). The Lugbara of Uganda. Case studies in cultural anthropology. New York: Holt, Rinehart and Winston. 2nd edition published 1992, Fort Worth : Harcourt Brace Jovanovich College Publishers, ISBN 978-0-15-500622-5.
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Walugbara kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.