Makonde (maana)
Makonde inaweza kumaanisha
- Watu wa kabila la Wamakonde wanaoishi Tanzania na Msumbiji karibu na mpaka kati ya nchi hizi walio mashuhuri kama wachongaji wa ubao.
- Makonde ni kata ya Wilaya ya Lindi Mjini
- Makonde (Ludewa) ni kata ya Wilaya ya Ludewa katika Mkoa wa Iringa.