Kimakhuwa-Meetto
Kimakhuwa-Meetto ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji na Tanzania inayozungumzwa na Wamakua. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimakhuwa-Meetto nchini Msumbiji imehesabiwa kuwa watu 963,000. Pia kuna wasemaji 385,000 nchini Tanzania. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimakhuwa-Meetto iko katika kundi la P30.
Angalia pia
haririViungo vya nje
hariri- lugha ya Kimakua kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimakua Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimakua katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mgh
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Archived 4 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- http://bantu.berkeley.edu/CBOLDFTP/CBOLD_Data/ Archived 1 Machi 2003 at the Wayback Machine. (tovuti hiyo ina kamusi ya Kimakua iliyokusanywa na Kisseberth)
Marejeo
hariri- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Pires Prata, António. 1960. Gramática da língua macua e seus dialectos. Cucujães: Escola Tipográfica das Missões pelos Sociedade Portuguesa das Missões Católicas. Kurasa iv, 442.
- Stucky, Suzanne U. 1985. Order in Makua syntax. (Outstanding dissertations in linguistics.) New York: Garland Publishing. Kurasa 240.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimakhuwa-Meetto kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |