Wamalakote ni kabila la watu (16,800 mwaka 2009) wa jamii ya Wabantu wanaoishi nchini Kenya, katika kaunti ya Tana River.

Lugha yao ni Kiilwana, mojawapo kati ya lugha za Bantu ila iliathiriwa na Kioromo ambacho ni lugha ya Kikushi[1].

Tanbihi hariri

  1. Arends, Jacques, Pieter Muysken & Norval Smith (eds.). 1995. Pidgins and Creoles: An Introduction (Creole Language Library 15). Amsterdam: John Benjamins.
  Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wamalakote kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.