Wamwimbi ni kabila la watu wa jamii ya Wameru wanaoishi nchini Kenya, katika kaunti ya Tharaka-Nithi.

Lugha yao ni Kimiiru, mojawapo kati ya lugha za Bantu.

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wamwimbi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.