Wanyoro (kwa Kinyoro au Runyoro: Banyoro (umoja: Munyoro)) ni kabila la mashariki mwa Uganda linaloongozwa na mfalme (omukama)[1], kwa sasa Solomon Iguru I, ambaye ni wa 27 kwa Bunyoro-Kitara.[2] Ufalme wa Bunyoro uliwahi kuwa na nguvu sana katika Afrika Mashariki na ya Kati kuanzia karne ya 13 hadi ile ya 19. It is ruled by the Omukama of Bunyoro.

Eneo la Bunyoro leo.

Zamani uchumi ulitegemea uwindaji wa tembo, simba, chui na mamba. Siku hizi Wanyoro ni hasa wakulima wanaozalisha ndizi, mtama, mhogo, yam, pamba, tumbaku, kahawa na mpunga.

Wanakadiriwa kuwa 1,400,000. Wengi wao ni Wakristo.

Tanbihi

hariri
  1. Stokes, Jamie (2009). Encyclopedia of the Peoples of Africa and the Middle East, Volume 1. Infobase Publishing. ku. 506–509.
  2. Facts about the Kingdom, https://www.scribd.com/doc/35682709/2010-01-21-Bunyoro-Kitara-Kingdom-General-Information Ilihifadhiwa 5 Novemba 2012 kwenye Wayback Machine.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanyoro kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.