Wasongora
Wasongora (pia: Washongora, Wahuma) ni kabila linaloishi magharibi mwa Uganda na mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ni mchanganyiko wa Wabantu na Waniloti.
Lugha yao ni Kisongora (wao wanasema Lusongora) ambayo inafanana na Kinyankore.
Tangu zamani ni wafugaji wa ng'ombe.
Leo wanakadiriwa kuwa 25,000 upande wa Uganda na wachache zaidi upande wa Kongo; wengi wao ni Wakristo.
Wafalme wa Busongora
haririTarehe si kamili kwa wafalme wa zamani.
1 Kogyere I Rusija-Miryango [Malkia] [1090-1120]
2 Kogyere II [Malkia] [1120-1130]
3 Kyomya I kya Isiimbwa [1130-1140]
4 Mugarra I [1140-1150]
5 Ndahura I kya Rubumbi [1150-1160]
6 Mulindwa [1160-1170]
7 Wamara Bbala Bwigunda [1170-1200]
8 Kyomya II Rurema [1200-1210]
9 Kagoro [1210-1220]
10 Kakara-ka-Shagama [1220-1250]
11 Njunaki Kamaranga [Malkia] [1250-1280]
12 Shagama-rwa-Njunaki [1280-1300]
13 Wahaiguru Rukuba-Ntondo [1300-1310]
14 Kateboha [1310-1330]
15 Nyakahuma [Malkia] [1330-1375]
16 Kirobozi [1375-1400]
17 Mugarra II wa Kirobozi [1400-1420]
18 Buyonga bwa Kirobozi [1420-1430]
19 Kyomya III [1430-1460]
20 Nkome [1460-1485]
21 Ihiingo [1485-1500]
22 Goro [1500-1525]
23 Kasheshe [1525-1550]
24 Kazoba [1550-1575]
25 Nyabongo I [1575-1600]
26 Makora [1600-1625]
27 Nyabongo II Kikundi Nyakwirigita [1625-1655]
28 Mugonga Rutegwankondo [1655-1685]
29 Kitami kya Nyawera [Malkia] [1685-1725]
30 Rwigi I Wakoli [1725-1730]
31 Buremu I Rushoita [1730-1740]
32 Kantunguru [Malkia] [1740-1750]
33 Kyokoora [1750-1775]
34 Mairanga ga Kyokoora [1775-1800]
35 Kyomya IV Bwachali bwa Mairanga [1825-1850]
36 Kikamba [1850-1860]
37 Rwigi II Kyeramaino Rweshakaramyambi [1860-1880]
38 Bulemu II Kigwamabere [1880-1886]
39 Kogyere III Ikamiro [Malkia] [1886-1889]
40 Rwigi III Mugasa Kakintule [1889-1891]
41 Rutairuka [1891]
42 Njugangya Katurumba [1891]
43 Kuriafire [1891-1894]
44 Kaihura [1894-1901]
45 Kasigano [1901-1907]
46 Rwigi IV Bwebale Rutakirwa [2012-2015]
47 Ndahura II Imara Kashagama [2016 hadi leo]
Tanbihi
haririViungo vya nje
hariri- [1] Ilihifadhiwa 20 Aprili 2020 kwenye Wayback Machine. www.busongora-chwezi.org
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wasongora kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |