Webuye
Webuye ni mji wa Kenya magharibi katika kaunti ya Bungoma.
Webuye | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Bungoma |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 65,280 |
Wakazi upande wa Kenya walikuwa 65,280 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Webuye kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |