Wiki Indaba
Mkutano wa Wikimedia katika bara la Afrika
Wiki Indaba ni mkutano maalumu unaoandaliwa na taasisi ya Wikimedia Foundation kwa ajili ya bara la Afrika.[1][2] Midahalo pamoja na mada mbalimbali kuhusiana na miradi ya Wikipedia katika bara la Afrika hujadiliwa katika mkutano huo.
Maelezo
haririMaelezo haya yanaonyesha vipindi tofauti tofauti ambavyo mkutano wa Wiki Indaba ulifanyika.
Nembo | Mkutano | Tarehe | Nchi |
---|---|---|---|
WikiIndaba 2014 | Juni 20–22 | Johannesburg, Afrika Kusini[3] | |
WikiIndaba 2017 | Januari 20–22 | Accra, Ghana[4] | |
WikiIndaba 2018 | Machi 16–18 | Tunis, Tunisia[5] | |
WikiIndaba 2019 | Novemba 8–10 | Abuja, Nigeria[6] | |
WikiIndaba 2021 | Novemba 5–7 | Kwa Njia ya mtandao | |
WikiIndaba 2022 | Novemba 4–6 | Kigali, Rwanda |
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Fripp, Charlie (2014-06-24). "What does Wikipedia need to do in Africa?". htxt.africa. Iliwekwa mnamo 2017-01-21.
- ↑ "Wiki Indaba 2017". Retrieved on 2021-09-22. (en) Archived from the original on 2020-04-13.
- ↑ June, Charlie Fripp on 24th (2014-06-24). "What does Wikipedia need to do in Africa?". htxt.africa. Iliwekwa mnamo 2017-02-08.
{{cite web}}
: CS1 maint: numeric names: authors list (link) - ↑ "Wiki Indaba Kickstarts in Accra, Ghana - The African Dream". www.theafricandream.net (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-04-29.
- ↑ "WikiIndaba conference 2018". Iliwekwa mnamo 2017-12-24.
- ↑ "WikiIndaba conference 2019". Iliwekwa mnamo 2019-08-25.