Wikipedia:Mradi wa Vigezo

(Elekezwa kutoka Wikipedia:Vigezo)
kigezo

Kigezo (template) ni ukurasa wa Wikipedia unaoanzishwa ili kuingizwa katika kurasa za makala. Mara nyingi huwa na maudhui yanayorudiarudia katika kurasa mbalimbali. Mfano ni masanduku ya kueleza hali ya ukurasa (kama vile makala fupi, onyo la kuonyesha hitilafu fulani kama vile ukosefu wa vyanzo au kasoro za lugha, onyo kwamba makala inaweza kufutwa).

Vigezo vingine vinaweza kuwa tata vikiandaliwa kupokea habari za ziada, kama vile masanduku ya habari (info-boxes).

Wikipedia:Mradi wa Vigezo

hariri

Baadhi ya Wanawikipedia wameanzisha mradi ili kupanga vizuri zaidi Vigezo na Jamii:Vigezo. Ukurasa huu na vikurasa vyake vinatoa mapendekezo yao kwa tumaini la kwamba mradi huu utasaidia kuelekeza juhudi za Wanawikipedia wengine.

Kila mtu anakaribishwa kusaidia; kwa maelezo zaidi tafadhali uliza katika ukurasa wa majadiliano au tazama "To do" list.

Wanawikipedia wa mradi

hariri

Makusudi

hariri
  1. Conducting efforts to better organize, document and display all templates in the template namespace, including: navigation templates, infobox templates, inline templates linking country articles, stub types, image copyright tags and user language templates (Babel).
  2. Solving specific templates issues, such as standardisation and locations.
  3. Improving the general documentation on how to create and use templates, in addition to improving the documentation pages of the individual templates.
  4. Clean-up of the unused, unneeded and/or redundant templates, using the templates for discussion (TfD) process and guidelines.
  5. Providing help and guidance in creating, updating, correcting and testing templates.

Mkakati

hariri

Jamii za vigezo

hariri

Vigezo vya mradi

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: