Wikipedia ya Kiesperanto

Wikipedia ya Kiesperanto (Kiesperanto: Vikipedio en Esperanto, au esperantlingva Vikipedio) ni toleo la kamusi elezo huru ya Wikipedia kwa lugha ya Kiesperanto. Wikipedia hii, ilianzishwa mnamo mwezi wa Desemba katika mwaka wa 2001, ikiwa kama Wikipedia ya kumi na moja kuanzishwa (ikifuatiwa na Wikipedia ya Kibasque).

Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kiesperanto
Logo of the Esperanto Wikipedia
Screenshot of the Esperanto Wikipedia home page.
Kisarahttp://eo.wikipedia.org/
Ya kibiashara?Hapana
Aina ya tovutiMradi wa Kamusi Elezo ya Interneti
KujisajiriHiari
Lugha asiliaKiesperanto
MmilikiWikimedia Foundation

Mnamo mwezi wa Juni katika mwaka wa 2008, toleo hili likavuka idadi ya makala 100,000, na kuifanya iwe Wikipedia ya 21 kwa ukubwa wa hesabu ya wingi wa makala na pia ni kubwa wa upande wa lugha ya kuundwa (bila kujumlisha Wikipedia ya Kivolapük ambayo yenyewe ina makala nyingi za mbegu).

Wikipedia ya Kiesperanto, ilianza na makala 139 kutoka katika kamusi elezo ya Enciklopedio Kalblanda ya Stefano Kalb.

Viungo vya Nje

hariri
 
Wikipedia
Wikipedia ya Kiesperanto ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiesperanto kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.