Wikipedia ya Kiestonia
Wikipedia ya Kiestonia ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kiestonia. Wikipedia hii, ilianzishwa mnamo tar. 24 Julai 2002. Mnamo tar. 20 Januari 2009, imefikisha makala 59,131. Takwimu ya sasa ya Wikipedia kwa Kiestonia, inapatikana hapa.[1]
Kisara | http://et.wikipedia.org/ |
---|---|
Ya kibiashara? | Hapana |
Aina ya tovuti | Mradi wa Kamusi ya Interneti |
Kujisajiri | Hiari |
Lugha asilia | Kiestonia |
Mmiliki | Wikimedia Foundation |
Marejeo
hariri- ↑ "An ETV archive of the 2008 Aasta Vabatahtlik award ceremony. Andres Luure's time segment: 39:48-41:33". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-13. Iliwekwa mnamo 2009-05-09.
Viungo vya nje
hariri Wikipedia ya Kiestonia ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiestonia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |