Wikipedia ya Kiserbia
Wikipedia ya Kiserbia (Kiserbia: Википедија на српском језику/Vikipedija na srpskom jeziku) ni toleo la kamusi elezo la Wikipedia kwa lugha ya Kiserbia. Ilianzishwa mnamo tar. 16 Februari 2003. Toleo hili, kwa tar. 5 Januari ya mwaka wa 2009, imefikisha zaidi ya makala ya 75,000.[1]
Marejeo
haririViungo vya nje
hariri Wikipedia ya Kiserbia ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiserbia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |