Halmashauri (kutoka neno la Kiarabu) ni kikundi cha watu ambao wamechaguliwa au kuteuliwa wafanye kazi ya kuongoza, kutawala, kutunga sheria, kushauri na kuelekeza mambo.

Pia ni chombo cha kiutawala chenye mamlaka kiasi fulani kuendesha shughuli za kiutawala za eneo husika kama vile wilaya au mji.[1]

Tanbihi

hariri