Wilaya ya Chake Chake
Wilaya ya Chake Chake ni wilaya mojawapo kati ya 2 za Mkoa wa Pemba Kusini Tanzania yenye postikodi namba 74200 .
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 136,298 [1]. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 97,249 [2]. Makao makuu yapo mjini Chake Chake.
Marejeo
hariri- ↑ https://www.nbs.go.tz
- ↑ "Sensa ya mwaka 2012, Mkoa wa Pemba Kusini - Chake Chake" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-03-29. Iliwekwa mnamo 2018-03-23.
Kata za Wilaya ya Chake Chake - Mkoa wa Pemba Kusini - Tanzania | ||
---|---|---|
Chachani | Chanjaani | Chonga | Gombani | Kibokoni | Kichungwani | Kilindi | Kwale | Madungu | Matale | Mbuzini | Mchanga Mrima | Mfikiwa | Mgelema | Mkoroshoni | Mgogoni | Michungwani | Mjini Ole | Msingini | Mvumoni | Ndagoni | Ng'ambwa | Ole | Pujini | Shungi | Tibirinzi | Uwandani | Vitongoji | Wara | Wawi | Wesha | Ziwani |
Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Chake Chake kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |