Pujini
Pujini ni kata ya Wilaya ya Chake Chake katika Mkoa wa Pemba Kusini, Tanzania.
Kata ya Pujini | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Pemba Kusini |
Wilaya | Chake Chake |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 5,734 |
Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 5,734 [1].Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,034 waishio humo. [2]
Historia
haririKulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya Bahari ya Hindi. Kuna habari za mtawala mashuhuri katika ukanda wa Afrika ya Mashariki anayejulikanwa kwa jina la utani Mkama Ndume, lenye maana ya mkamua wanaume kwa Kiswahili cha zamani.
Tazama pia
haririMarejeo
hariri- ↑ https://www.nbs.go.tz, uk. 254
- ↑ "Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002" (kwa Kiingereza). Serikali ya Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-26.
Kata za Wilaya ya Chake Chake - Mkoa wa Pemba Kusini - Tanzania | ||
---|---|---|
Chachani | Chanjaani | Chonga | Gombani | Kibokoni | Kichungwani | Kilindi | Kwale | Madungu | Matale | Mbuzini | Mchanga Mrima | Mfikiwa | Mgelema | Mkoroshoni | Mgogoni | Michungwani | Mjini Ole | Msingini | Mvumoni | Ndagoni | Ng'ambwa | Ole | Pujini | Shungi | Tibirinzi | Uwandani | Vitongoji | Wara | Wawi | Wesha | Ziwani |
Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Pujini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |