Wilaya ya Hanang ni wilaya mojawapo kati ya 7 za Mkoa wa Manyara, Tanzania, yenye postikodi namba 27300.

Eneo la Hanang katika Mkoa wa Manyara

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Hanang ilihesabiwa kuwa 275,990 waishio humo. [1] Katika sensa ya mwaka 2022 wazazi walihesabiwa 367,391 [2].

Hanang imepakana na wilaya za Mbulu Vijijini na Babati Vijijini upande wa kaskazini halafu mikoa ya Dodoma upande wa kusini mashariki na Singida kwa kusini-magharibi.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Hanang - Mkoa wa Manyara - Tanzania  

Balang'dalalu | Bassodesh | Bassotu | Dawar | Dirma | Dumbeta | Endagaw | Endasak | Endasiwold | Ganana | Garawja | Gehandu | Gendabi | Getanuwas | Gidahababieg | Gisambalang | Gitting | Hidet | Hirbadaw | Ishponga | Jorodom | Katesh | Laghanga | Lalaji | Masakta | Masqaroda | Measkron | Mogitu | Muldabaw | Nangwa | Simbay | Sirop | Wareta


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Hanang kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.