Wilaya ya Igunga

Wilaya ya Igunga ni wilaya moja ya Mkoa wa Tabora yenye postikodi namba 456 [1].. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 399,727 [2]

Mahali pa Igunga (kijani) katika mkoa wa Tabora.

Marejeo

  Kata za Wilaya ya Igunga - Mkoa wa Tabora - Tanzania  

Bukoko | Chabutwa | Choma | Iborogelo | Igoweko | Igunga | Igurubi | Isakamaliwa | Itumba | Itunduru | Kining'ila | Kinungu | Kitangili | Lugubu | Mbutu | Mtunguru | Mwamakoma | Mwamala | Mwamashiga | Mwamashimba | Mwashiku | Mwisi | Nanga | Ndembezi | Ngulu | Nguvumoja | Nkinga | Ntobo | Nyandekwa | Simbo | Sungwizi | Tambalale | Ugaka | Uswaya | Ziba

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tabora bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Igunga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.