Open main menu

Kakonko ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Kigoma yenye postikodi namba 47700[1], ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012.Eneo lake lilitengwa na wilaya ya Kibondo. Idadi ya wakazi ilikuwa watu 167,555 wakati wa sensa 2012.[2]


Makao makuu ya wilaya yako Kakonko.

MarejeoEdit

  1. https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/kigoma.pdf
  2. Sensa ya 2012, Kigoma - Kakonko
  Kata za Wilaya ya Kakonko - Mkoa wa Kigoma - Tanzania  

Gwanumpu | Kakonko | Kasanda | Kasuga | Katanga | Kiziguzigu | Mugunzu | Muhange | Nyabibuye | Nyamtukuza | Rugenge


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kigoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kakonko kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.