Wilaya ya Kisimu ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Nyanza wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Wilaya ya Kisumu
Mahali paWilaya ya Kisumu
Mahali paWilaya ya Kisumu
Mahali pa Wilaya ya Kirinyaga katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Kisumu
Eneo
 - Jumla 2,085.9 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 968,879

Makao makuu yalikuwa mjini Kisumu.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Kisumu.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Nyanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kisumu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.